2017-11-17 18:16:37

Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!

Inasikitisha:  Baba Ampa Mimba Mwanae! #1
Click image to play video, right click to save image. (Image via youtube.com)
Music Details
TitleInasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!
MP3 Size11.9 MB (estimated)
Duration11:54
Views329,159
Quick DownloadFast Download
Sourceyoutu.be/nju6lmQ-rMQ
Description

INASIKITISHA,katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja Aliyejitambulisha kwa jina la Sakina Abdallah ameonekana kuangua kilio baada ya mumewe kudaiwa kumpa ujauzito mwanaye wa kufikia.
Akisimulia tukio hilo mama wa mtoto huyo aliyedai kwa sasa kuishi jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani Tanga ameelezea masikitiko yake ya mumewa kudaiwa kumpa mtoto wao ujauzito wa miezi tisa sasa.
Akizungumza na mwandishi wa habari wa mtandao huu mama huyo ameelezea namna ambavyo alizipokea taarifa za ujauzito wa mwanaye kutoka kwa majirani aliokuwa akiwaeleza mwanaye kwamba anaujauzito wakati huohuo mama huyo akioneshewa kutokuheshimiwa na mwanaye huyo aliyemtaja kwa jina mkoja na Mwanaisha.

CopyrightAll materials' copyright are belong to their respective owners and/or uploader. This video was uploaded by Global TV Online
LicenseLicensed under YouTube Standard License
Download as MP3
Download as MP4
TagsInasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!, Download Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!, Download Video Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!, Download MP3 Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!, Download Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae! episode terbaru, Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae! terbaru
 

Top